Jamani, tunamtia Rais wetu ubaya, hebu hata kama ni wewe umechaguliwa kushika nafasi hii nyeti, unaweza kuwasahau wale waliokuwezesha kuwepo hapo ulipo? tena kwa pesa zao? Kama binadamu sote tuna upungufu hivyo tujipange upya. Hiki ni kipindi cha mpito, kwa wenzetu ulaya iliwachukuwa miaka mingi mpaka kufika hapo walipo, Mtakumbuka primitive acumulation of capital(PAC) ilivyowanufaisha wachache, tumpe muda.