kukumwenyehipsi
Member
- Dec 8, 2018
- 12
- 5
Kwani hao mawaziri wanawajibika kwa Bashiru? Mbona sijaelewa huu mfumo wa uongozi ukojeKuna Mawaziri Watatu Ndiyo wanapokea simu na nikiwapatia Malalamiko ya Wananchi wanayafanyia Kazi
1.Medadi Kalemani ( Nishati)
2.Kangi Lugola ( Mambo ya Ndani)
3.William Lukuvi( Ardhi)
Na Kidogo wa Maliasili
( Khamisi Kigwangala)
Nayeye kaanza kubadilika anapokea simu
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
_Dr Bashiru Ally_
*Katibu Mkuu CCM Taifa*
Uko wapi wewe, kwani hapa kuna mfumo? It is a laissez faire stateKwani hao mawaziri wanawajibika kwa Bashiru? Mbona sijaelewa huu mfuu wa uongozi ukoje