J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Feb 26, 2023 #1 Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee
Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,745 Reaction score 830,867 Feb 26, 2023 #2 Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya
Nrangoo JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 3,422 Reaction score 5,479 Feb 26, 2023 #3 Mshana Jr said: Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya Click to expand... punguza udikteta boss
Mshana Jr said: Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya Click to expand... punguza udikteta boss
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,745 Reaction score 830,867 Feb 26, 2023 #4 Nrangoo said: punguza udikteta boss Click to expand... Hukuona alichokuwa kaandika mwanzoni.. Nakuwekea hapa Ni jambo jema Hiyo ndio mada asilia.. Baada ya kumsema ndio kaongezea maneno
Nrangoo said: punguza udikteta boss Click to expand... Hukuona alichokuwa kaandika mwanzoni.. Nakuwekea hapa Ni jambo jema Hiyo ndio mada asilia.. Baada ya kumsema ndio kaongezea maneno
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Feb 26, 2023 Thread starter #5 Mshana Jr said: Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya Click to expand... 😂😂🤣 Kwaresma njema!
Mshana Jr said: Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya Click to expand... 😂😂🤣 Kwaresma njema!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Feb 26, 2023 Thread starter #6 Mshana Jr said: Hukuona alichokuwa kaandika mwanzoni.. Nakuwekea hapa Ni jambo jema Hiyo ndio mada asilia.. Baada ya kumsema ndio kaongezea maneno Click to expand... 😂 David wa Tunduma yumo?!
Mshana Jr said: Hukuona alichokuwa kaandika mwanzoni.. Nakuwekea hapa Ni jambo jema Hiyo ndio mada asilia.. Baada ya kumsema ndio kaongezea maneno Click to expand... 😂 David wa Tunduma yumo?!
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Feb 26, 2023 #7 johnthebaptist said: Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee Click to expand... Huku ni kupwaya Jo siku hizi haumanishi katika uandishi wako
johnthebaptist said: Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee Click to expand... Huku ni kupwaya Jo siku hizi haumanishi katika uandishi wako
Tajiri wa kinyankole JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,959 Reaction score 4,862 Feb 26, 2023 #8 Mshana Jr said: Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya Click to expand... teuziView attachment 2530465View attachment 2530467View attachment 2530466View attachment 2530468
Mshana Jr said: Jo itendee haki JF kama huna kuandika ama huwezi kuandika kitu kamili unakaa kimya Click to expand... teuziView attachment 2530465View attachment 2530467View attachment 2530466View attachment 2530468
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,616 Reaction score 42,984 Feb 26, 2023 #9 johnthebaptist said: Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee Click to expand... Kila jambo na wakati wake
johnthebaptist said: Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee Click to expand... Kila jambo na wakati wake
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,537 Reaction score 4,435 Feb 26, 2023 #10 Kaacha mijizi inaendelea kukwapua mihela kwenye tozo na mikataba feki naona mkeka chenga chenga tu
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Feb 26, 2023 #11 Bila kumbadilisha Waziri Mkuu ni kazi bure.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Feb 26, 2023 Thread starter #12 imhotep said: Bila kumbadilisha Waziri Mkuu ni kazi bure. Click to expand... Unataka awekwe Mbowe? Subiri Uchaguzi mdogo
imhotep said: Bila kumbadilisha Waziri Mkuu ni kazi bure. Click to expand... Unataka awekwe Mbowe? Subiri Uchaguzi mdogo
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,737 Reaction score 27,100 Feb 26, 2023 #13 imhotep said: Bila kumbadilisha Waziri Mkuu ni kazi bure. Click to expand... Chadema bana
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,405 Feb 26, 2023 #14 johnthebaptist said: Unataka awekwe Mbowe? Subiri Uchaguzi mdogo Click to expand... Sio mbaya pia kuwa na Serikali ya mseto.
johnthebaptist said: Unataka awekwe Mbowe? Subiri Uchaguzi mdogo Click to expand... Sio mbaya pia kuwa na Serikali ya mseto.
S saigilomagema JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 5,683 Reaction score 7,796 Feb 26, 2023 #15 johnthebaptist said: Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee Click to expand... Una tumbo la kuharisha? Bado nenda chooni kwanza.
johnthebaptist said: Ni jambo jema Nimeona Uteuzi wa Viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Manaibu na Makatibu Wakuu Ngoja niuhakiki mkeka kisha niutupie hapa Kazi Iendelee Click to expand... Una tumbo la kuharisha? Bado nenda chooni kwanza.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Feb 26, 2023 Thread starter #16 imhotep said: Sio mbaya pia kuwa na Serikali ya mseto. Click to expand... Kama nchi ya Zanzibar
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,528 Feb 26, 2023 Thread starter #17 saigilomagema said: Una tumbo la kuharisha? Bado nenda chooni kwanza. Click to expand... Unawaza Tumbo tu! Mkeka umesahaulisha mkutano
saigilomagema said: Una tumbo la kuharisha? Bado nenda chooni kwanza. Click to expand... Unawaza Tumbo tu! Mkeka umesahaulisha mkutano
S saigilomagema JF-Expert Member Joined Jun 5, 2015 Posts 5,683 Reaction score 7,796 Feb 26, 2023 #18 johnthebaptist said: Unawaza Tumbo tu! Mkeka umesahaulisha mkutano Click to expand... Nazingumzia tumbo lenye matatizo, nafuu ni kuharisha.
johnthebaptist said: Unawaza Tumbo tu! Mkeka umesahaulisha mkutano Click to expand... Nazingumzia tumbo lenye matatizo, nafuu ni kuharisha.