mchambakwao
Member
- Dec 9, 2011
- 77
- 14
Wakuu Heshimu kwenu!
Nimekaa na kutafakari sana kuhusu Azimio la Arusha,ingawa kulikuwa na baadhi ya vipengele ambavyo havikuwa sahihi kwa wakati tulio nao vingeondolewa ila vile vinavyohusu uongozi na utawala bora vingeachwa maana hapa tulipo sasa hali ni mbaya serikalini hasa kwenye masuala mazima ya ubadhirifu wa mali ya umma.
Kwa ni nini hili Azimio la Arusha lisirudishwe,lina mapungufu gani kwenye Utawala Bora na Viongozi wa Umma?
Nawasilisha!