Mawaziri wanne kujiuzuru




Maiti hailindwi, hukumu yake kuzikwa tu
 
Kamati ya wabunge wa CCM imeazimia kuwa waziri wa ulinzi, mambo ya ndani, mali asili na mifugo wajiuzuru mara moja ili kumuokoa PM PINDA

Ninavyoona wakijadiri unayosema si mapendekezo ya Kamati. Ni waziri wa mifugo tu ndio ameambiwa ajitafakari na ajipime. Na kuna mbunge kamtetea kwamba katika ripoti nzima hakuna sehemu inayomtuhumu moja kwa moja Kama ilivyo kwa wizara ya maliasili, ulinzi na mambo ya ndani, ambazo hata hivyo mawaziti wake hawakuguswa kwenye mapendekezo.
 
Hili ndo tatizo la watu wengi. Yaani mtu hata kama hatekelezi majukumu yake ipasavyo eti anafaa tu kwa sababu hajilimbikizii mali.

Bora fisadi anayewajibika kuliko mtu kana pinda
 
Labda sio bunge la TZ chini ya hawa nnaowajua mimi hapo wanavuta kasi muda upotee wakapige bia na nyoma choma maeneo...hawana muda wa kuwajibika km Pinda kuachia ngazi tusahau
 
Huyu dogo ana roho ngumu kama ya paka!

Huyu Mburula eti nae anataka kuwa RAIS!!! He is corrupt to the core; ile nyumba ya umoja wa vijana wa magamba amekula fedha nyingi sana toka kwa Subash Patel, hivi sasa yeye ndio anayemlinda Kapuya asikamatwe kuhusiana na kesi ya kubaka!!! Hafai kabisa kuwa kiongozi kwani hata elimu yake ni ya kuunga unga!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…