KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Lukuvi amemtaka Mh Filikunjombe athibitishe kauli yake kuwa mawaziri Wengi ndio wanaoongoza kwa kuitafuna nchi hii.
Filikunjombe kasema yupo tayari kufanya hivyo, je tutegemee nini toka kwa serikali yetu inayovuliwa nguo hata na wabunge Wa CCM?
Wadau,nipo bungeni. Mbunge Filikunjombe amemwambia Naibu Spika kuwa anawasilisha orodha ya mawaziri wote wezi wa mali ya umma. Tunaisubiri orodha hiyo kuanzia jioni ya leo!! Haki ya Mungu ukombozi tayari!!!!
Dah! Hicho kichwa cha habari! kitauza magazeti ya udaku
Ni kweli mkuu.nani aliyempa mkulo ruhusa ya kuuza viwanja mali ya umma?si wizi huo?