Mawaziri wameamua kuwa masikini kama Wazee wa Kwa Tandale

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,200
Reaction score
11,350
Inashangaza sana mawaziri wetu wameamua kuwa masikini, wanakili hawanakitu.

Huu uongo ni mbaya kuliko mambo yote muliowahi kufanya huko nyumba.

Afu kwa bahati mbaya, kwa Sasa kila kitu kiko kwenye mtandao.

Ni maadili ya kazi tu ndio yanafanya watu wasilete nyaraka. Ila unaumiza sana.

Guys Guys.. kuweni na huruma na hii nchi.
 
Waulize ''twende benki mtupe pesa za kuwafanya kuwa mawaziri na maraisi kama watakubari''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…