Mawaziri Wakuu Waliomaliza Muda Wao

Mawaziri Wakuu Waliomaliza Muda Wao

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,147
Reaction score
43,079
2015

2008
Mh. Mizengo Peter Pinda
Waziri Mkuu wa Kumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa . Aliteuliwa tarehe 7 Februari, 2008 na kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Februari,...

2008

2005
Mh. Edward Ngoyai Lowassa
Waziri Mkuu wa Tisa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Fredrick Tluway Sumaye. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 30 Desemba, 2005 hadi tarehe 7 Februari, 2008 alipojiuzulu na hatimaye kuvunjwa k...

2005

1995
Mh. Frederick Tluway Sumaye
Waziri Mkuu wa Nane wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa John Samuel Malecela. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 28 Novemba, 1995 hadi tarehe 29 Desemba, 2005 akifuatiwa na Mheshimiwa Edward Ngoya...

1995

1994
Mh. Cleopa David Msuya
Wadhifa wa Waziri Mkuu kwa awamu ya pili.

1994

1990
Mh. John Samuel Malecela
Waziri Mkuu wa Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Novemba, 1990 hadi tarehe 5 Desemba, 1994 akifuatiwa na Mheshimiwa Fredrick...

1990

1985
Mh. Joseph Sinde Warioba
Waziri Mkuu wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim. Ni mwanasheria, mwanasiasa maarufu, Jaji wa siku nyingi. Alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

1985

1984
Mh. Salim Ahmed Salim
Waziri Mkuu wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Edward M. Sokoine ambaye alifariki kwa ajali ya gari mnamo tarehe 12 Aprili, 1984. Ni mwanadiplomasia wa siku nyingi kuanzia miaka ya 1960. Alikuwa Wazi...

1984

1983
Mh. Edward Moringe Sokoine
Awamu ya pili ya kuwa Waziri Mkuu, alifariki 12 Aprili 1984 kutokana na ajali ya gari.

1983

1980
Mh. Cleopa David Msuya
Waziri Mkuu wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Edward M. Sokoine. Aliwahi kushika wadhifa wa Waziri Mkuu mara mbili. Mara ya kwanza ni kuanzia tarehe 7 Novemba, 1980 hadi tarehe 24 Februari, 1983...

1980

1977
Mh. Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kuwa Waziri Mkuu mara mbili, tangu tarehe 13 Februari, 1977 hadi 7 Novemba, 1980 na mara ya pili kuanzia tarehe 24 Februari, 1983 hadi tarehe 12 Aprili, 1984 alipofariki kutok...

1977

1962
Mh. Rashid Mfaume Kawawa
Huyu alikuwa ni Waziri Mkuu wa pili wa Serikali ya Tanganyika akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Maisha Yake Mheshimiwa Rashid Mfaume Kawawa alizaliwa tarehe 27 Februari, 1926 katika kijiji cha Ma...

1962

1961
Mh. Julius Kambarage Nyerere
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa ni Waziri Mkuu wa Kwanza wa Serikali ya Tanganyika Huru kuanzia tarehe 9 Desemba, 1961 hadi tarehe 22 Januari, 1962 alipojiuzulu na kumwachia wadhifa huo Mheshimiwa Rashid Mfaume Kawawa ili yeye aende kuiimari...
 
Umeweka vema mtiririko kihistoria.
Kuna kosa moja dogo linapaswa kusahihishwa kwamba, Mwl. Nyerere na Rashidi Kawawa ndiyo pekee walipata kuwa Mawaziri Wakuu wa Tanganyika. Na baada ya Muungano Rashidi Kawawa akawa Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia Makamu wa pili wa Rais.
Nakumbusha hilo kwa kuwa nilisoma kitabu kimoja cha shule ya msingi kimeandikwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania alikuwa Mwl. Nyerere; hili ni kosa la kihistoria kupuuza uwepo wa serikali ya Tanganyika kabla ya muungano.
 
2015

2008
Mh. Mizengo Peter Pinda
Waziri Mkuu wa Kumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa . Aliteuliwa tarehe 7 Februari, 2008 na kuthibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Februari,...

2008

2005
Mh. Edward Ngoyai Lowassa
Waziri Mkuu wa Tisa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Fredrick Tluway Sumaye. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 30 Desemba, 2005 hadi tarehe 7 Februari, 2008 alipojiuzulu na hatimaye kuvunjwa k...

2005

1995
Mh. Frederick Tluway Sumaye
Waziri Mkuu wa Nane wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa John Samuel Malecela. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 28 Novemba, 1995 hadi tarehe 29 Desemba, 2005 akifuatiwa na Mheshimiwa Edward Ngoya...

1995

1994
Mh. Cleopa David Msuya
Wadhifa wa Waziri Mkuu kwa awamu ya pili.

1994

1990
Mh. John Samuel Malecela
Waziri Mkuu wa Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia tarehe 9 Novemba, 1990 hadi tarehe 5 Desemba, 1994 akifuatiwa na Mheshimiwa Fredrick...

1990

1985
Mh. Joseph Sinde Warioba
Waziri Mkuu wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim. Ni mwanasheria, mwanasiasa maarufu, Jaji wa siku nyingi. Alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

1985

1984
Mh. Salim Ahmed Salim
Waziri Mkuu wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Edward M. Sokoine ambaye alifariki kwa ajali ya gari mnamo tarehe 12 Aprili, 1984. Ni mwanadiplomasia wa siku nyingi kuanzia miaka ya 1960. Alikuwa Wazi...

1984

1983
Mh. Edward Moringe Sokoine
Awamu ya pili ya kuwa Waziri Mkuu, alifariki 12 Aprili 1984 kutokana na ajali ya gari.

1983

1980
Mh. Cleopa David Msuya
Waziri Mkuu wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Mheshimiwa Edward M. Sokoine. Aliwahi kushika wadhifa wa Waziri Mkuu mara mbili. Mara ya kwanza ni kuanzia tarehe 7 Novemba, 1980 hadi tarehe 24 Februari, 1983...

1980

1977
Mh. Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aliwahi kuwa Waziri Mkuu mara mbili, tangu tarehe 13 Februari, 1977 hadi 7 Novemba, 1980 na mara ya pili kuanzia tarehe 24 Februari, 1983 hadi tarehe 12 Aprili, 1984 alipofariki kutok...

1977

1962
Mh. Rashid Mfaume Kawawa
Huyu alikuwa ni Waziri Mkuu wa pili wa Serikali ya Tanganyika akipokea nafasi hiyo kutoka kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Maisha Yake Mheshimiwa Rashid Mfaume Kawawa alizaliwa tarehe 27 Februari, 1926 katika kijiji cha Ma...

1962

1961
Mh. Julius Kambarage Nyerere
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa ni Waziri Mkuu wa Kwanza wa Serikali ya Tanganyika Huru kuanzia tarehe 9 Desemba, 1961 hadi tarehe 22 Januari, 1962 alipojiuzulu na kumwachia wadhifa huo Mheshimiwa Rashid Mfaume Kawawa ili yeye aende kuiimari...
Okay
 
Back
Top Bottom