johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,830
- 145,837
Wote waislamu walipewa uwaziri kwa sababu ya dini ,eti dini ya haki ,iko Wapi?Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi
Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia
Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali
Sabato Njema!
Ngoja wajeIkumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi
Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia
Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali
Sabato Njema!
Hukuona chochote cha kujadili dhidi yao ukaona dini zao tu basi? Ukiona Karen ya 21 mtu anajadili jadili dini jua huyo ni mpumbavu kama wewe.Wote waislamu walipewa uwaziri kwa sababu ya dini ,eti dini ya haki ,iko Wapi?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Hilo ongezeko la ununuzi WA ndege limetokea pwani.???Ikumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi
Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia
Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali
Sabato Njema!
Kwahiyo mawaziri Wakristo sio wezi? tulikuwa na PM hapa Mkristo mpaka alijiuzulu kwa kashfa za upigaji, ebu jadili hoja acha kelele za kitotoWote waislamu walipewa uwaziri kwa sababu ya dini ,eti dini ya haki ,iko Wapi?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mpumbavu tu ila ni mlemavu wa akili aliyetakiwa kuwa hospital muda huu lakini yupo uraiani kuandika ujingaHukuona chochote cha kujadili dhidi yao ukaona dini zao tu basi? Ukiona Karen ya 21 mtu anajadili jadili dini jua huyo ni mpumbavu kama wewe.
Watu wa pwani walimuona tishio kwa uwezo wake wakamtengenezea zengwe.nipe ORODHA ya walijiuzulu kwa ishu ya Richmond nikupe idadi ya wavaa kobazi paleKwahiyo mawaziri Wakristo sio wezi? tulikuwa na PM hapa Mkristo mpaka alijiuzulu kwa kashfa za upigaji, ebu jadili hoja acha kelele za kitoto
Mtu afanye ufisadi wake usingizie watu wengine? Dr Mwakyembe alikuwa mtu wa Pwani kumbe aliefanya uchunguzi wa ile kashfa?Watu wa pwani walimuona tishio kwa uwezo wake wakamtengenezea zengwe.nipe ORODHA ya walijiuzulu kwa ishu ya Richmond nikupe idadi ya wavaa kobazi pale
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo?!Siasa za kikanda hazina nafasi Tanzania
Unajiona sasa ulivyo kilaza sasa mwakyembe ndio alikuwa mwizi au mchunguzi kihande weweMtu afanye ufisadi wake usingizie watu wengine? Dr Mwakyembe alikuwa mtu wa Pwani kumbe aliefanya uchunguzi wa ile kashfa?
Endelea kujizima data , Lowasa alijiuzulu baada ya Mwakyembe na kamati yake kuja na majibu ya uchunguzi , sasa nakuuliza Mwakyembe alikuwa mtu wa pwani? hakuna cha kusingiziwa wala nini Lowasa alikuwa mwizi kama wezi wengine na alikuwa MkristoUnajiona sasa ulivyo kilaza sasa mwakyembe ndio alikuwa mwizi au mchunguzi kihande wewe
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais ni mpwani mwenzao,wanakula kwa ruksaIkumbukwe kuwa mh Kambaya wa Chadema ndio kapewa jukumu maalumu la kukiimarisha Chama kanda maalumu ya Mwambao wa Bahari ya Hindi
Sasa mh Kambaya ukiisoma Ripoti ya CAG utagundua Mawaziri kutoka Tanga, Pemba, Unguja, Pwani na Lindi ndio wamemulikwa zaidi na CAG kwa Ufisadi mkubwa ulifanyika Kwenye Taasisi wanazosimamia
Tafadhali mh Kambaya Washa moto na tuuone kweli unawaka kipetroli siyo kiasali
Sabato Njema!
Unaona ulivyo kichwa mavi so mwakyembe naye alikuwa fisadi,hujui hata mchunguzi alikuwa nani mchuzwa alikuwa nani , nimekeambia leta idadi ya mawaziri waliojiuzulu nikutajie wavaa kobazi wenzakoEndelea kujizima data , Lowasa alijiuzulu baada ya Mwakyembe na kamati yake kuja na majibu ya uchunguzi , sasa nakuuliza Mwakyembe alikuwa mtu wa pwani? hakuna cha kusingiziwa wala nini Lowasa alikuwa mwizi kama wezi wengine na alikuwa Mkristo
Khoh khoh khoh! wa dini yetuWote waislamu walipewa uwaziri kwa sababu ya dini ,eti dini ya haki ,iko Wapi?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Lowassa ni mwenyekiti wa mtaa? wewe kweli bolizozoUnaona ulivyo kichwa mavi so mwakyembe naye alikuwa fisadi,hujui hata mchunguzi alikuwa nani mchuzwa alikuwa nani , nimekeambia leta idadi ya mawaziri waliojiuzulu nikutajie wavaa kobazi wenzako
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Lowassa alihojiwa na huyo Mwakyembe?Endelea kujizima data , Lowasa alijiuzulu baada ya Mwakyembe na kamati yake kuja na majibu ya uchunguzi , sasa nakuuliza Mwakyembe alikuwa mtu wa pwani? hakuna cha kusingiziwa wala nini Lowasa alikuwa mwizi kama wezi wengine na alikuwa Mkristo
Unazungumzia kuhojiwa au waziri aliekuwa mkristo kujiuzulu kwa ufisadi? acha kuchanganya mamboKwani Lowassa alihojiwa na huyo Mwakyembe?