Mawaziri wa JK Noma - Ezekiel Mayige


Mkuu,
kwa uliyoyaangalizia hapo kwenye red...KIUKWELI UMENIKUNA, ni ukweli usiopingika abadan.
 
Huyu Waziri si unajua wakipita katika mashirika yaliyo chini yao ni nini kinatokea?.yule alikuwa anafikiria mshiko tu,hapo alikuwa anahalalisha ulaji kwani ni mara yangapi sasa toka alipochaguliwa Waziri ametembelea Pori la swagaswaga hapo karibu tu na Dodoma.si halina mshiko huyu safari zake ni TANAPA na Ngorongoro akitoka si chini ya M4 - 5 hivi anakunjia mfukoni.hakuwa na cha kuongea ni porojo tu kwani vyote alishaongea safari zilizopita ,njaa zitatuua.
 

Kwani Boss wake yuko connected siku hizi?


HUENDA KUNA KURITHISHANA TABIA MIONGONI MWAO.
 

WANATUMIA MDOMO KULIKO AKILI NDIO SHIDA YA WATU WA CHAMA KILE CHA MAGWANDaS
 
If you want me to tell you who you are,tell me your friends.So if you want to know who is JK look his ministers
 

Kumbe uliona eee! hata mimi nilifikili ni maskio yangu tu
 
Kumbe uliona eee! hata mimi nilifikili ni maskio yangu tu

Yaani kaka hayakuwa masikio ndio ukweli huo, hawa watu wanaongea bila kufikiria, wala kutumia akili hata zile kidogo walizo nazo. Kwa mtu mwenye akili ukichanganya kwenye mtililiko umemuacha maana wenye akili huwa wanataka kuchukua kila kitu, sasa filing system yako ikishakuwa mbaya hapo ataanza kujitahidi kukupangia by the time anastuka na wewe umemaliza kuongea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…