Uliwahi ona wapi mtu akifanya kosa, kivuli chake kinatafutwa.Cha kushangaza na kusikitisha ni pale tunapotegemea vyama vya upinzani na mawaziri vivuli kuwa ma "watch dog" wanaposhindwa kufanya kazi zao ipasavyo.
Hakuna hata mmoja aliyeleta ripoti yoyote bungeni kabla ya ripoti ya Utoh.
Mawaziri vivuli mlikuwa mmelala? Au mlikuwa mmesusa kazi?
Cha kushangaza na kusikitisha ni pale tunapotegemea vyama vya upinzani na mawaziri vivuli kuwa ma "watch dog" wanaposhindwa kufanya kazi zao ipasavyo.
Hakuna hata mmoja aliyeleta ripoti yoyote bungeni kabla ya ripoti ya Utoh.
Mawaziri vivuli mlikuwa mmelala? Au mlikuwa mmesusa kazi?
Uliwahi ona wapi mtu akifanya kosa, kivuli chake kinatafutwa.
waziri kivuri wa fedha hujamuona alivokuwa anamfatilia waziri wa fedha toka wakati huo serikali kukosa pesa ya kulipa mshahara na kukopa benki.wakaanza kutoleana maneno kupitia media mpaka mkulo akasema zitto sio mzalendo yakahamia bungeni.mkulo akasema zitto na wajumbe wake wamehongwa dogo akaapa akionekana au mjumbe yoyote amekula rushwa atajiuzuru nafas zake zote na akaenda mbali zaidi kwamba na waziri naye aweke nadhili.cag ameleta report umeona jinsi mkulo alivoaibika kaka so mawaziri vivuli wamefanya kazi zao vizur.kabisa.huo ni mfano mmoja bt iko mingi
Niliwaona walikuwa wanakimbia jua,embu wacheki hapo pembeni mwa hiyo miti kwenye viwanja vya bunge.:A S shade: