Mawaziri 5 bora 2016

hakuna waziri aliye Fanya vizuri labda mbarawa ambaye wizara yake inaongozwa na mwenye nyumba. wengine wote wameleta majanga kwa RAIA.
 
Ushamalizia dozi yako milembe au ulitoroka? Wanaougua vichaa kama wewe ndiyo huwa wanaandika upuuzi kama huu
 
He.....kumbe wwnafika watano...Mimi najua Mbarawa na Ndalichako tu.....labda na mhongo japo simpendi.
 
Ubora wao sio wa kiutendaji bali ubora wao unatokana kuwepo sana kwenye vyombo vya habari.
 
Nafikir hao ni mawaziri, maRC na maDC waliosikika zaidi kwenye vyombo vya habari....viongozi matamko. ( Huenda waliokaa kimya ndio wanachapa kazi kuliko hao)
 
MWIGULU
MBARAWA
MAHIGA
NNAUYE
MAKAMBA
polepole
 
Mnafiki ww
 
Hahahaaaa kwa sababu ya kuonekana kwenye vyombo vya habari. Bora katika lipi?? Huu ni mtazamo wa Kishirawadu.
 
Nachojua mimi ni rais bora wa familia yangu, punguza kujipendekeza mende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…