Duuh_tread nzuri hii,..hata mimi mke wangu analalamika sana kuhusu hili,..ila to me sioni kama ni issue kivile_maake asubuhi tunaagana na jioni tunakutana,..haya mambo ya umekula lunch_ndio,umekula nini wali samaki,jitaidi kula bana si unajua wewe ni mvivu kula...wengine zinatuboa,....
Nb:Kwa uopande wangu sio kwamba simpendi nampenda saaaaaaaaaaana,...sema hayo mambo ya ki_baby mara sweet,honey hatuyachukulii kivile.....hii ni kwa sisi tuliosoma st.kayumba.

mi ningempata wa hivyo raha kweli!
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.
mi ningempata wa hivyo raha kweli!
Uliyenaye yukoje mdada, lakini kwa nini usiwasiliane na mwenzako walau once a day, nadhani inaonesha kujaliana vile.
sometym inakua kero
kawasiliana mara moja mbili sawa
ila sio kila saa,uko wapi,unafanya nn utafkiri CID bna!
mara mbili kwa siku c mbaya!
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.
Jaribu kumwangalia mumeo ni mtu wa aina gani kama ni hawa mfumo dume mh wanamatatizo sana, kwao mwanamke hana deal sana.
Na wewe acha kumpigia na ukisafiri usimpigie kabisa na hata akiandika sms sometime ignore kwani wewe huna huyo buze?
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.
Maneno yawavunja ndoa haya....