Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.
Si ushukuru hata wewe unakaa na simu, mimi wakwangu nimemnyanganya hadi simu.
Kama anataka kuniuliza lolote wakati mimi niko kazini anatakiwa aandike barua halafu aitume poster.
Japo tunaishi nae nyumba moja ila lazima barua aandike.
Wanawake saa nyingine wasumbufu sana.
Hello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.
Duuh pole sana, huyu mumeo ni aina ya wale wanaume wanaoamini kua, thamani ya mwanamke huonekana pale ka giza kanapoingia ,kwa sababu anajua karibia mtakutana kitandani, Siku nzima anakua hana time na wewe, inauma kwa kweli.
pole saudari
Jaribu kumwangalia mumeo ni mtu wa aina gani kama ni hawa mfumo dume mh wanamatatizo sana, kwao mwanamke hana deal sana.
Na wewe acha kumpigia na ukisafiri usimpigie kabisa na hata akiandika sms sometime ignore kwani wewe huna huyo buze?
achana naye then nitafuteHello wana forum..je wapenzi wanatakiwa wawacliane marangapi kwa cku?? Mume wangu akienda kazn ndo hata nipigia wa kuni sms hata mara1.naweza nimpigie simu anaongea haraka halaf anakata mwenyewe na niki mu sms anaeza asinijib jion nikimuuliza anasema nlikua na kaz nyingi.je hapati hata dakika 1 yakujib sms?au ana ni ignore?ikitokea nimesafiri hata nipigia mpaka nimpigie mimi au nimbip na hua nambip kwa kumjarib nione km atapiga.anaeza asipige au apige ucku je nikwel ni wingi wakazi mh cjui ebu nsaidien.mnijib kwa ustaarab.