mapenzi yapo hapa?
HELP ME
- unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
- na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
- anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?

Unaenda mwak sasa
mh kwel inauma, hapo mara nying hakuna mapenzi. We jaribu kukaa kimya hata wiki uone mweleo.YAAN NASHINDWA HATA KUELEWA.NA NILISHAMUHOJI AKASEMA KAZI NI NYING NA ANAKOSA MUDA HATA WA SIMU. AKAJIREKEBISHA NA BAADA YA MUDA TENA ANACHANGE.
inaniuma sana.
- KUNA VITU ANAVYONIONYESHA KWELI ANANIPENDA LAKINI SIMUAMIN COZ OF THIS
- NA YEYE ALISHAWAHI KUNIAMBIA KUWA MAWASILIANO HAYAPI KIPAUMBELE SAN KATIKA MAHUSIANO
- YEYE ANACHOJUA NIKO NDANI YA MOYO WAKE
- NA HATA NIKIKAA KIMYA SIKU MBILI AMA TATU HASTUKU WALA HACHANGE ANAKUWA YUKO NORMAL
mh pole but hata kukaa kimya ni njia ya kumuweka mtu karibu, jaribu ushauri wangu japo ni mgumu, itakusaidia kujua mbivu na mbichi.sasa nikikaa tu siku mbili nashindwa kuvumilia naumia sana mwisho wa siku naamua kumwambia tuachane na inashindikana na ndo anasema eti mwakan anioe jamani kwa staili hii kweli ntaweza mimi
Unaenda mwak sasa
YAAN NASHINDWA HATA KUELEWA.NA NILISHAMUHOJI AKASEMA KAZI NI NYING NA ANAKOSA MUDA HATA WA SIMU.
AKAJIREKEBISHA NA BAADA YA MUDA TENA ANACHANGE.
inaniuma sana.
- KUNA VITU ANAVYONIONYESHA KWELI ANANIPENDA LAKINI SIMUAMIN COZ OF THIS
- NA YEYE ALISHAWAHI KUNIAMBIA KUWA MAWASILIANO HAYAPI KIPAUMBELE SAN KATIKA MAHUSIANO
- YEYE ANACHOJUA NIKO NDANI YA MOYO WAKE
- NA HATA NIKIKAA KIMYA SIKU MBILI AMA TATU HASTUKU WALA HACHANGE ANAKUWA YUKO NORMAL
mapenzi yapo hapa?
HELP ME
- unampigia simu asubuhi kujua anaendeleaje na ameamkaje then hapokei?
- na je ni kwamba siku nzima yupo bize na kazi kiasi kwamba amekosa muda wa kujua nani kanitafuta siku nzima?
- anakaa siku nzima hakutafuti mpka wewe uanze na ukimtafuta hapokei mpaka anapotoka kazini ama anapofika nyumbani?
YAAN NASHINDWA HATA KUELEWA.NA NILISHAMUHOJI AKASEMA KAZI NI NYING NA ANAKOSA MUDA HATA WA SIMU. AKAJIREKEBISHA NA BAADA YA MUDA TENA ANACHANGE.