Mawasiliano

Mawasiliano

GIRAY

Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
11
Reaction score
1
Jamaa mmoja alirudi kutoa kazini ma mkewe kwa hasira akaanza kumuuliza
mke: Enhe, haya sema ulikua wapi leo siku nzima.
mume: Nilikua ofisini,
mke: mbona ulikua hupatikani hewani muda wote,
mume kwani nani kwakwambia ofisi yetu iko hewani, na kwanza
ulifikaje hewani wewe
 
hahahahaha!!! quite funny!!!
 
kweli huyo mama ni mjanja kaona ajihami kiaina, bravo!
 
Mume katumia akili huyo. Alikuwa nyumba ndogo.
 
Back
Top Bottom