Wakuu habari za jioni, Mimi Ni mjasiriamali, Nina kibanda kidogo (kiosk), nimekuwa interested na biashara ya ukodishaji wa taa za WASSHA au hata kununua kabisa Kama wanauza, Ila nimeshindwa kupata MAWASILIANO yao
Nimegoogle lakini huko Napo hawajaweka namba za cm Ila wameweka email, nimewatext lakini text hazijibiwi
Naombeni msaada kwa yeyote mwenye uzoefu na hawa watu, wanafanyaje biashara zao au Kama Kuna mdau ana namba zao mnisaidie wakuu
NB.mods naomba msifute huu Uzi huu, nwenzenu Nina shida Sana na Hawa jamaa, nimeona hii ndo sehemu ya mwisho