Mawasiliano rasmi ya DAWASA

DAWASA

Official Account
Joined
Oct 7, 2010
Posts
201
Reaction score
121
Fahamu mawasiliano rasmi ya Mikoa ya kihuduma Dawasa itakayosaidia urahisi wa kupokea na kushughulikia changamoto za huduma ya Maji kwa Jiji la Dar es salaam na Pwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wekeni tenki zenye maji yenye dawa kwenye maeneo ya mikusanyiko kama soko na stand watu wanawe mikono bure,kipindi hiki cha corona.
Wateja wenu wanuru maisha.
 
DAWASA Temeke tumelipia mwezi wa tatu huu unaenda huduma mpaka leo hatujapata, wanasema mita hakuna kweli jama miezi mitatu mita hakuna? hebu tusaidieni
 
Hamfai hamsaidii mteja anapokuja offisini mmerundikana mnajiona sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…