[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear sikuweziiiiiii.Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya?
Umekula sijui umefanya nini[emoji57][emoji57][emoji57]
Wakati mwingine ukishamjulia hali njoo na mipango ya kufanya kuongeza kipato.sio kila saa umekula!umeoga [emoji3062][emoji3062]haya sijala nilishe [emoji2955][emoji2955]
Umeshazeeka dear anaeuliza yupo kwao anakula ugali wamama hivo havijui.Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya?
Umekula sijui umefanya nini😏😏😏
Wakati mwingine ukishamjulia hali njoo na mipango ya kufanya kuongeza kipato.sio kila saa umekula!umeoga 🥵🥵haya sijala nilishe 🤨🤨
Kweli kabisa hizi sms za gud morning gorgeous, umeamkaje inafika sehemu zinakuwa kawaida.Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya?
Umekula sijui umefanya nini😏😏😏
Wakati mwingine ukishamjulia hali njoo na mipango ya kufanya kuongeza kipato.sio kila saa umekula!umeoga 🥵🥵haya sijala nilishe 🤨🤨
Utaambiwa hujakuaKuwasiliana muda wote 24/7 na kuongea nonsens[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2360150
NdioYaani siku ipite hujawayilina na umpendae,,,
Umekula my?!!!!Yani uwasiliane na mpenzi wako muda wote kwani huna shughuli ya kufanya?