Sio dakitari lakini najua inategemeana na mtu na mutu...
Kwa mfano unaweza kupima leo ukapewa lens ya -2.5 ila badaa ya mwaka ukapima ukapewa ya -3.00 ,kumaanisha tatizo limeongezeka
Ama
Ukapimwa ukapewa lens ya +1.5 na baadae ukapimwa tena ukapewa lens ya 1.00