Mbona hayo ni mambo ya kawaida tu, kwani lami tatizo? wewe hujui maana ya connections? Hebu fuata kanuni hizi uone kama hutafanikiwa...
We need People to live with (usimdharau yeyote hata kama hana mahali pa kulala, au kuhusu kazi yake)
We need Power to live on (hii ni aina yeyote ya ujuzi,elimu au uzoefu wa kitu)
We need Principles to live at (hii ni kanuni-mfumo endelevu yenye nidhamu ya hali ya juu katika uongozi wa fedha/kipato)
We need Purposes to live in (haya ni malengo-sababu yanayohusu kitu unachokifanya)
We need Plans to live out. (Hapa ni mipango-mikakati ya yote niliyoyaandika hapo juu)
Nadhani utakuwa unanielewa nikisema utajiri wa huyu jamaa ni kitu cha kawaida.......na kwa taarifa yako, huyu jamaa hana hata mtoto wa kurithi hizo mali zote...take it from me!!