Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Hata lijuakali mlisema hivyo hivyo,nyie ma bush lowyer hamchokagi kuwakatisha wenzenu TamaaKibatala anataka kupiga tu hela ya chadema
Kidhibiti kimewashika washitakiwa kwa 100% pasi na shaka yoyote anataka kukata rufaa ya nini kama si kutaka kumuongezea adhabu
Kwanza ashukuru hiyo miezi mitano,ingekua sita au zaidi angekosa sifa za kuwa mbunge