Mkuu kuna haja ya kuangalia sana kuhusu hawa mawakala wakuu, kuhusu kutuma direct deposit niko nalo makini sana mkuu. Unajua niliisha enda kwa wakala mkuu akaniambia hata yeye hajui zaidi niende voda, coz mahesabu yote yanafanywa na voda wenyewe. Ninacho fikiria sasa ni kuchukua till kutoka kwa hao wenyewe voda then niitumie nione km kutakuwa na tofauti.Mkuu mimi mwenyewe siwaelewi hawa jamaa wa vodacom siku hizi, sijui niwale mawakala wasaidizi ndio wanatutafuna? Pia angalia isije ikawa umetuma pesa direct kwa mtu aliyeko mbali huwa wanakupiga faini.
Biashara hii ya Mpesa ni sawa na kuwanufaisha voda tu. Unaweza hudumia wateja 55,wanakuletea sms kuwa umehudumia 49,pia unapiga hesabu (kutokana na sms wanazoleta kila siku) kuwa waweza pata commision ya laki nne,lakini unapata laki 2 na sabini.
Mimi ni wakala wa m pesa ninaye fanyia kazi zangu maeneo ya kariakoo, nina fanya sana biashara cha ajabu siku zinavyozidi kwenda wateja wanaongezeka ila commision inazidi kupungua, ni kitu cha ajabu sana. Unaendelea vodacom kufuatilia wanakuambia we hufanyi kazi wakiwa na maana nahudumia watu wachache sana ni uwizi ulio wa wazi. Kwa wale wote ambao wana biashara hii angalieni tusijekuwa tunawafanyanyia kazi watu.
Ingekua njema sana,Hawa jamaa na tabia ya kuweka agency kwa kila transaction kuna sababisha too much touchingIngekuwa jambo la busara kama mawakala wa M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money tunge unda ka umoja fulani hivi ili kutetea maslahi yetu. Tunaweza hata ku negotiate rates za commissions!
Ingekuwa jambo la busara kama mawakala wa M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money tunge unda ka umoja fulani hivi ili kutetea maslahi yetu. Tunaweza hata ku negotiate rates za commissions!
Mkuu kuna haja ya kuangalia sana kuhusu hawa mawakala wakuu, kuhusu kutuma direct deposit niko nalo makini sana mkuu. Unajua niliisha enda kwa wakala mkuu akaniambia hata yeye hajui zaidi niende voda, coz mahesabu yote yanafanywa na voda wenyewe. Ninacho fikiria sasa ni kuchukua till kutoka kwa hao wenyewe voda then niitumie nione km kutakuwa na tofauti.
Mkuu kuna haja ya kuangalia sana kuhusu hawa mawakala wakuu, kuhusu kutuma direct deposit niko nalo makini sana mkuu. Unajua niliisha enda kwa wakala mkuu akaniambia hata yeye hajui zaidi niende voda, coz mahesabu yote yanafanywa na voda wenyewe. Ninacho fikiria sasa ni kuchukua till kutoka kwa hao wenyewe voda then niitumie nione km kutakuwa na tofauti.