Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

Kwani kwenye simu ya Bibi yetu Kuna hela nyingi Sana kiasi kwamba anaibiwa hivyo na Bado nyie wote mnaomtumia na anayetumiwa hamjui hell zilizomo Ni sh?
Na huenda huyo mwizi anaangalia balance mara kwa mara, akiona mpunga upo anahamisha kiasi
 
Airtel App haiwezi kuwa authenticated with other networks SIM.

Pia simcard tofauti haiwezi fungua kwa number tofauti. Kama kuna njia anaiba ni nyingine ila siyo airtemoney App.

Nimetoka kujaribu kwa Wifi isiyo ya airtel hai connect.

Wifi ambayo source yake ni airtel inaniletea number ya kule kwenye hotspot.
 
Na huenda huyo mwizi anaangalia balance mara kwa mara, akiona mpunga upo anahamisha kiasi
Huyo wakala kama ame download App ya Airtel Money ili aibe hizo hela hakika angekuwa anazituma kwenye namba ambayo haijasajiliwa kwa majina yake ili asiache loose end.

Mi nadhani atakuwa anamtolea hela huyo Bibi kwa kujitumia halafu anabalance makato ya kitolea hela ili apate faida kubwa maana haiwezekani mihamara zaidi ya 25 hela zinaibiwa halafu hawajui.
 
Huyo wakala ni mhuni sana, na pia huenda hiyo miamala 25 ambayo umeambiwa na Airtel inaweza kuwa ni miamala halisi kabisa aliyotolea mother pesa, ila huenda pia kati ya hiyo 25 baadhi ikawa ni ya kuibiwa eg huo muamala wa mwisho
 
Anajitumia bila Mama kujua, so aNawaibia Watu hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au jamaa amesajili line nyingine ambayo Mama akiwa offline ndio jamaa anaweka na kufanya hyo miamala Mkuu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza badilisha no ya siri sasa hivi. Ukienda police hakikisha hiyo ishu unampa askari ambae unajua hawezi kukuzunguka.

Maana ishu kama hiyo si utawaachia no ya huyo kijana ili wafatilie? Watampigia simu wampige mzinga wamwambie kila kitu.

Cha kufanya mface direct nenda na mama mwambie nani kafanya mhamala huu wakati mama hajaja hapa? Mwambie ukweli kuwa ni yeye anaejua no ya siri na mpe onyo. Mbane pale pale akigoma mwache maana ashakula nyingi tu.
badilisha no ya siri tafuta mtu mwingine ambae ni mwaminifu kidogo ndo awe anamtolea pesa.

Lakini mwaweza mfundisha dogo huyo wa 12yrs awe anaenda na bibi yake kutoa hela.ingawa nae akinogewa ataiba tu, ila bora ale yeye na sio hao wezi.
Inshort mazingira ya mama yenu kutoa hela kwenye sim ni magumu. Mkimpa konda azipeleke mkono kwa mkono nae anazila dah inachanganya.
 
Mfuate hyo pimbi mzabe makofi matatu ya ukweli bro upunguze hasira maana amna utakachopata zaidi ya hicho.
 
Nitaenda polisi Kureport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda polisi
Unao muamala ambao haujafanywa na simu ya mama Ako

Alafu kupitia polisi hao airtel wanaweza toa ushirikiano waliokunyima

Alafu ukifanya muamala kupitia app wao wanajua
Na kupitia USSD wanajua Ivo kazi ni ndogo tu
 
Yes Yaaani meseji ya Airtel money inakuja kwamba mama katuma kiasi fulani kwenye hyo namba ya huyo Wakala Wakati Mama wala hajafanya huo Muamala

Sent using Jamii Forums mobile app
Miamala ambayo katuma na hajaenda kwa wakala iyo kaibiwa.

Ila mi nahisi kuna mihamala ambayo katuma na amepewa hela maana sikuizi mawakala wengi wanaopewa simu na wateja ambao hawajui kutoa hela na wateja hao wanawafahamu, mawakala wanatoa kwa kujitumia.
 

Ita polisi wambebe , atatema zoote, watu wa kijijini akiona polisi anaweza hata ajikojolee kabla ya kufanywa lolote na ikiwezekana peleka mahakamani chaapu
 
Huyo ni mwizi,mkamateni tu
 

Mama yenu huyu ni Saa Mbovu , asee mimi hawezi kuwa mama yangu huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…