singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Bila wewe mimi na Wale NyumbuHakyanani Nchi hii imechezewa sana kama Mwanasesere.
Kiukweli Magufuli anakazi ngumu sana ya kufanya. Kuuondoa mfumo huu wa ulaji unahitaji uchizi fulani, vinginevyo waweza kushindwa.
BACK TANGANYIKA
Waseme tu
Maana itasaidia,
Hata rais katoa uhuru kuongea kama umebaini madudu sehemu
Wakikusikia wenyewe..!!! Kuna watu wamo humu JF ukiyataja mabaya ya serikali iliyopita ni kama unawauwa vileHivi waliokuwa wanaisifu serikali ya JK wanajisikiaje leo hii? Au walikuwa sehemu ya huu ufedhuli unaojitokeza sasa?
Kidogo tu JK angelipeleka taifa kuwa 'failed state'!!
Rais alisema kila sehumu ukigusaHao nao wasubiri yanayowahusu yaanikwe ili nao watumbuliwe. Kiukweli wengi wao ofisi zao zilikuwa zinawezesha ufisadi kuendelea bandarini hapo. Wengi wao wanafahamiana kwa undani na viongozi wa bandari na maofisa wengi wa idara ya mapato na forodha pia. Ilikuwa rahisi kwao kurahisisha rushwa na ukwepeshaji makontena kwa kuwaunganisha wateja na maafisa wa idara hizo na kuwakusanyia hayo mamilioni. Watulie kwanza nao yao yanafahamika na pia watatajana tu.
utaifakwanza faiza foxy &Co.Hivi waliokuwa wanaisifu serikali ya JK wanajisikiaje leo hii? Au walikuwa sehemu ya huu ufedhuli unaojitokeza sasa?
Kidogo tu JK angelipeleka taifa kuwa 'failed state'!!
Nimesoma gazeti moja wanasema kuwa tangu mwaka 2008 wadau wa bandari walikaa na kukubaliana kuwa kama ilivyo kwa TRA nao TPA watumie mitandao ya komputa kukusanya tozo zao. Baada ka kipindi cha kutekeleza haya kufika TPA wakakataa maana walijua hiyo ingeliwaondolea ulaji hivyo wakaendelea kutumia risiti zao.Hao nao wasubiri yanayowahusu yaanikwe ili nao watumbuliwe. Kiukweli wengi wao ofisi zao zilikuwa zinawezesha ufisadi kuendelea bandarini hapo. Wengi wao wanafahamiana kwa undani na viongozi wa bandari na maofisa wengi wa idara ya mapato na forodha pia. Ilikuwa rahisi kwao kurahisisha rushwa na ukwepeshaji makontena kwa kuwaunganisha wateja na maafisa wa idara hizo na kuwakusanyia hayo mamilioni. Watulie kwanza nao yao yanafahamika na pia watatajana tu.
wewe ni shetani mkubwa nadhani ungemwambia Magufuli aache kukurupuka afanye tafiti ili aweze kukabiliana na matatizo ya wezi na mafisadi ya ccm kisayansi vinginevyo sifa za kwenye video hazimfikishi mbali anapapasa vijipu kiini anakiachaBila wewe mimi na Wale Nyumbu
kubadilika na kumuunga mkono Rais itakuwa kazi ngumu
ila kwa mwelekeo ulivyo Tunao muunga mkono Rais waukweli ni wengi kuliko Mashetani.
Tumpe muda rais wetu na tushiriki kuibua madudu mengine zaidi kwa manufaa ya Tanzania
PALIPO NA MALAIKA SHETANI HAKOSI
Mbona bodi yote ilishavunjwa zamani? hii bodi ilikuwa chini ya somebody msambichaka na miongoni mwa wajumbe wake alikuwa Naibu Spika Dr. TuliaAvunje kwanza board ya TPA,unless otherwise NGUMU SANA.
HUKU UPELELEZI UKIENDELEA!
Hakyanani Nchi hii imechezewa sana kama Mwanasesere.
Kiukweli Magufuli anakazi ngumu sana ya kufanya. Kuuondoa mfumo huu wa ulaji unahitaji uchizi fulani, vinginevyo waweza kushindwa.
BACK TANGANYIKA
Rais alisema kila sehumu ukigusa
kuna madudu
Naona nivizuri wao kusema
ukweli nikuwa watumishi wa TPA ndio ugoro ugoro zaidi
Kabisa mkuuNimechangia mara nyingi nikiwakumbusha watanzania na wana Jf kuwa raisi Magufuli hafanyi asichokielewa. Amekuwepo serikalini tena kwenye ngazi za juu kuanzia ubunge hadi uwaziri kwa miaka ishirini. Kwa miaka yote hiyo anajua mapungufu na udhaifu wa viongozi wa serikali zote tatu zilizoongoza baada ya mwl. Nyerere.Hivyo hivyo anaelewa utendaji,uwezo na mapungufu ya watendaji wengine wa serikali kuanzia mawaziri na watendaji wengine. Ujue hadi sasa kwa upande wa bandari ameshughulikia ya Dsm peke yake na usidhani bandari nyingine kama Mtwara,Tanga na hizi ndogo ndogo kama Mwz na kwingine hayapo matatizo.Ameshughulikia Muhimbili hosp hajaingia za mikoani hivyo hivyo na Tra na forodha mikoani na mipakani. Tuseme kwa miaka mingi karibu wizara na idara zote ziliendeshwa kwa utashi wa viongozi waliokuwepo na hata waliokutwa na ndio maana nchi yetu ikaitwa shamba la bibi na wananchi wakatamani kumpata kiongozi mkali atakaediriki kuwachukulia hatua kali mafisadi na kutoa maamuzi magumu kwa wakati muafaka.Sasa kiongozi amepatikana tunachotakiwa wananchi ni kumpa ushirikiano nakuapia nchi hii ni tajiri kuliko nchi yoyote Afrika mashariki na kati na tukiweza kuzisimamia vyema raslimali zetu hatuna shida ya kuomba misaada na mikopo na saruji itauzwa kwa elfu tano tu. Nakiri katika uteuzi wake wa baraza lilikuwepo na shinikizo toka kamati za chama chake kuwateua baadhi ya mawaziri kwa utashi wa baadhi ya viongozi wakuu waliopita sasa subirini akabidhiwe kofia ya chama kitaifa June mwaka huu huu atanyoosha njia hata kwenye chama chenyewe. WANAOJARIBU KUMB-EZA NA KUMTISHIA YULE AMESHAJIKABIDHI KWA MUNGU HAOGOPI.