Mawakala wa cuf wameipigia kura ccm

Mawakala wa cuf wameipigia kura ccm

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
224
Reaction score
48
Nadhani wana jf mmeona jinsi CUF ilivyoambulia 0 katika vituo vingi Igunga. Hapa ni kwamba hata mawakala wa CUF ambao wameandaliwa na CCM hawakuipigia kura CUF
 
Umesema ukweli. Huu ni ushahidi tosha kuwa CUF ni magamba B
 
Inawezekana walitoka nje ya Igunga (kama ilivyofanya CHADEMA)so wakakosa sifa za kupiga kura, ila kusimamia wakawa hawana pingamizi. Lakini pia inawezekana wameipigia kura CHADEMA !!
 
Back
Top Bottom