Ni mawakala au wauziaji wa bidhaa za Apple?istore dar es salaam wapo shoppers plaza,pitia istore.co.tz
istore dar es salaam wapo shoppers plaza,pitia istore.co.tz[ asante sana kaka
Hao ni wauzaji. Bongo bwana hizo bidhaa zimekuwa ni anasa. Kwa ulimwengu wa sasa tunahitaji ipads kwa ajili y a kufundishia lakini bei zinakuwa juu tunashindwa kununua.[/QU
Hao ni wauzaji. Bongo bwana hizo bidhaa zimekuwa ni anasa. Kwa ulimwengu wa sasa tunahitaji ipads kwa ajili y a kufundishia lakini bei zinakuwa juu tunashindwa kununua.[/QU sawa kaka...je mawakala nitawapata wapi kwa dada?
?!?!?! ndo ulimaanisha nini hapo!!!??[/QU sawa kaka...je mawakala nitawapata wapi kwa dada?
samahani wana jf hivi mawakala wa bidhaa za apple kama iphones, ipod nk kwa dar nitawapata sehemu gani?.....