Wacha iuungue,kwani hilo jumba limekuwa kama hame,ni makazi ya mipanya buku na minyaya ya umeme iliyounganishwa kienyeji,huenda baada ya kuungua litajengwa jengo jipya na matapeli yatashindwa kukodi kwa bei chee,pia kuna pamba house nao wasipoangalia itakuwa kama Mavuno house,ukiacha pale chini walipo Imalaseko huko juu ni minyaya ya umeme iko loose,na sijashangangaa mavuno kuungua kwani nyaya zimeunganishwa hovyo,oh yes nilitaka kusahau hata jengo la kevin house kwa kule nyuma balaa