Nimeipenda! nyumba nzuri kweli...kwa dola 600 mbona inawezekana kupangisha au maeneo ni ya matajiri tu sisi kabwela haturuhusiwi. Kuna viwanja vingine ukienda kuuliza unajibiwa...ndiyo tunapangisha lakini wewe si aina ya wapangaji tunaowataka!!!