pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 430
- 224
Inanishangaza kabisa kuona kila kazi ina vazi lake na hutumika mahala pake. Pamoja na kazi nzuri za mavazi ikiwepo kustiri mwili, kupendeza ,kutunza joto, mavazi hayo yakivaliwa hayana uhiari na hutumika kama wenye nayo watakavyo kuyatumia.
Daudi havikwa mavazi ya Mfalme ili aweze kuwa askari tayari kwa pambano na Goriati mtu wa vita tokea ujana wake, lakini mavazi hayo aliyakataa, na akaamua kwenda na mavazi yake pamoja na kombeo yake kumkabili Goriati.
Mfalme sauli pia alibadili mavazi yake kwenda kwa mama mpunga Pepo ili apate kumpandishia Nabii Samweli, hata Samwel ilivyopanda kutoka madhabahu ile, yule mama alipiga kelele kuwa amemuona mtu Mzee amevika mavazi mweupe, naye akatambua kuwa kumbe ndiye Sauli ayebadili mavazi na kumlaghai mama mpunga Pepo.
Mfalme Ahabu naye alifanya vivyo hivyo, mbeba silaha zake akavikwa mavazi ya Mfalme, hata walipofika kwenye uwanja wa vita adui za Mfalme walimuona huyo jamaa na kufukuza, naye bila ajizi alipiga kelele na kukana kuwa siyo yeye.
Tunahaja kama taifa kujua thamani ya mavazi na mahali pa kuyatumia. Sasa hivi hatuoni mavazi yetu tuliyoyazoea kwenda nayo kwenye kazi zetu, tunatumia mavazi mengine mazuri kwa kutustiri utu wetu.
Tulikuwa na nyimbo nzuri zikiendana na mavazi yetu, tulitembea pamoja, tulikusanyika pamoja, tuliwasema pamoja, walipotujibu pekee Yao, nasi tuliwajibu kwa umoja wetu.
Yako wapi mavazi ya umoja wetu ambayo yalikuwa hamasa ya Amani, upendo, uvumilivu na utaifa?
Hatimaye sasa walikuwa wanavaa suti pia wamevalishwa kazu, waliovalishwa kola shingoni sasa wamevalishwa kikoyi na lubega. Iko wapi thamani ya mavazi yetu.
Wasanii na waimbaji wetu walitubirudisha kwa nyimbo nzuri huku wakiwa na mavazi mazuri, nyimbo zao zikiendana sana na kuhitaji wetu kwa rika zetu, lakini sasa hatuwaoni na mavazi Yao, nyimbo zao. Kama walivyotuhimiza pia wanawajibu wa kutunga nyimbo nzuri za kuleta Amani, upendo, umoja ili kujenga taifa letu.
Kuna muda niliwadha kazi ya mavazi bahati mbaya sikujua umuhimu wake, Kuna siku nilisema moyoni, Heri nguzo ya baba na mama kuliko nguzo hizi.
Tutengeneze nguo za kitaifa zitakazohubiri utaifa wetu na Tanzania yetu.