Mavazi ya interview

Joined
Jul 25, 2014
Posts
83
Reaction score
36
Habari zenu wadau wa jf...ivi wabongo mi siwaelewi kwakweli mtu anaenda kwenye interview hata kama ni written anavaa skin tait,jeans, culture ,ivi ni kwamba watanzania hatujui kupangilia mavazi au ni ulimbulikeni? mi ningeomba watanzania tujifunze ukienda kwenye ishu yoyote formal tuvae kiformal hata kama ni written interview tujifunze kuvaa kuendana na occasion .ni aibu.
 

safi mdau
 
Duh inasikitsha sana...ningekua mimi ndo msimamizi wa mtihani ngewaambia watafute namna ya kujisitiri ndo waingie kwenye interview...
 

Vijana wengi atujui jinsi ya kuvaa.kwanza ni wachafu akuna unadhifu mtu anadhanu casual ndo kuvaa hovyohovyo.wadada madela mapana kama wako msibani chini viatu vichafu.wanaume ndo usiseme vijeans vichafu chini malapa ya kimasai kwakweli ni sheredah.
 
Duu inaonekana tunashindwa kujikomboa wenyewe kwa elimu tunazozipata.
 
Kwel kabxa mtoa mada....mpaka cku arudshwe mlangon ndo atatia adabu to the nxt interview!!!
 

Sasa ngoja nikurekebishe kidogo japo nakuunga mkono 95% kwa kazi zetu za NGO hasa upande wa field logistics, ukiulambia hupati kazi wanajua wewe nni mayai mayai sio mtu wa kazi, au wale ma geologist ukichomekea hupati kazi sisi kwenye interview hupiga jeans na t-shirt au shati cadet ila safi na vimenyooshwa kiatu lazima kiwe cha kiume sio wanchima kumoyo au skuna...... white color jobs, lazima kashati kawe smart kama kaliko changanya na weupe na kasiwe ka mauwa mauwa kama unaenda kwenye kipa imara. na mikono mirefu ni bora zaidi. kasuruari ka kitambaa ni bien na ka skuna wanchoma kumoyo ni za walokole usivaa.. niwani kama siop ya macho usivae,, kalama simple tu sio uweke ya mauwa maua ya ya rangi ya dhahabu ,, na isiwe obama. not book muhimu sana japo hutakiwi kuitumia wakati wote ila itapeleka mesaage muhimu kwa watahini. kama ni mwanamke skirt ndefu yafaa sana na isiwe ya rangi rangi kama unaeda harusini.. style ya nywele iwe very simple na makeup ya kawaida hasa poda,, very light na wanja nooooooooo, perfum hapana tumia deo spray kwa mbali sana kuzuia kikwapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…