Hongera kwa hatua uliyoifikia Mkuu!
Unaishi mkoa gani/upi ili tuweze kuelekezana vizuri?., Unahitaji vazi kuanzia bei gani?.nk
Naomba nikusahihishe jambo kama hutojali (Nb:Kama nitakuwa ninajilisha upepo unisaidie pia).Uislamu ni Usafi na kujinyenyekeza mbele za Allah.Hauna uhusiano wowote na Mavazi na mengine mengi.Vazi unaloliulizia ni vazi la utamaduni wa Muarabu na siyo muislamu.
Kama wewe ni Mmasai unaweza kuvaa rubega zako tu na ukafunga harusi yako na ikawa saafi.Tatizo ni kwamba,Tuliaminishwa sana katika utamaduni wa Mzungu na muarabu kitu ambacho nacho ni sahihi.
Kumradhi kwa hili.