Hiyo generalization haifai kabisa, watake radhi Mama/Dada zetu wanaojiheshimu tafadhari!.Mambo kama hayo ndio yananifanya nihisi labda wanawake wana akilindogo kuliko wanaume.
Mambo kama hayo ndio yananifanya nihisi labda wanawake wana akilindogo kuliko wanaume.
Mambo kama hayo ndio yananifanya nihisi labda wanawake wana akilindogo kuliko wanaume.
na mpiga picha wao nae hakuwa observant.anashindwa kumumwambia mteja shakula ya mutoto natokezea!!?Halafu Tz proffessional fotomii wachache sana eeh!
Ukiikuza hiyo picha utaona kwamba haikuwa nia ya huyo mama kuacha hiyo hoteli bila kuifunika bali kitambaa cheusi kilichotakiwa kufunika hiyo SHERATON KILISOGEA CHINI NA KUACHA CHUCHU WAZI!! SIDHANI KAMA ALIFANYA MAKUSUDI!
mi nimepend tu hizo miwani zao.
bei yake kubwa sana
Acheni ushamba wee na mwenzako kibhopile. Hiyo siyo miwani. Aliye-upload picha ameficha macho ya walo katika picha kwa makusudi ili kulinda maadiri, ametumia adobe photoshop kuedit picha kwa kuweka miwani pamoja na ndevu
Naona mume yuko bomba tu chakula aliyoacha njee ni ipi?????
Mwenzenu muoga lakini nasikia hawa watu ni maarufu humu mjini ni couple, sasa huyu mume ameacha chakula ya mtoto wake inaangaliwa na kila mtu sijui ndio fashion!!!View attachment 14901
Yaaap, nimegundua tafsiri ya uchi inategemea wakati na jamii husika. Zamani kwa akina dada maziwa yalikuwa ni sehemu ya uchi na kwa sababu hiyo hayakupaswa kuonekana hadharani. Cku hizi ni tofauti, maziwa siyo uchi tena. Ndo maana zimekuja hata style za mavazi ya kike almaarufu kata nyonyo. Ndo hali halisi.Huyu dada/ mama kaacha MEWATA/saratani/ Nido/ chakula ya mtoto hadharani kwa makusudi kabisa. Maana hiyo nguo inaonyesha kuwa inatakiwa iache mambo hadharani. Kwa makusudi hata "Sindiria' Shindilia aka brazier hakuvaa ili shakula ya mtoto ionekane.