Mauzo ya gazeti la mwananchi 2014-2016

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,425
1,431
Wakuu naomba kujua wastani wa mauzo wa gazeti la mwanchi kutoka 2014 wakati Tido hadi 2016 baada ya Tido
 
Mwananchi wako vizuri bila hata ya Tido. Ukisikia entity ina wakenya ujue productivity take sio kweshenabo
 
Taarifa nyingi zinapatikana kwenye mitandao kwa hiyo wanunuaji wa magazeti wamepungua sana.
 
Nimejaribu kutafuta mtandaoni sijaona mauzo yao
 
Back
Top Bottom