Mauzo ya gari

Mauzo ya gari

Joined
Jun 3, 2014
Posts
35
Reaction score
12
Ninauza ya mizigo aina ya center tn 3 1/2 kwa bei poa kabisa, kwa mawasiliano zaidi piga no 0784737427 au 0712756342

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Siku nyingine usiche kutaja vitu vifuatavyo, bei, mwaka iliyotengenezwa, km ngapi imetembea, mtengenezaji i.e fiat, toyota... 2wheel/4wheel, ownership(mmiliki au dalali) hali ya gari, bila kusahau kapicha
 
Back
Top Bottom