Hizo ni stahiki zake!, viongozi wote wakuu 6 wa nchi wanastahili hata wakistaafu!.Niliambiwa kuwa gari ile ilikuwa inatokea ofisini pake Migombani ambayo imeandikwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Mlangoni hapo ofisini pake walinzi wake wakampa saluti ya nguvu ya heshima. Naye bila kuchelewa huku akikenya akaipokea. Baada ya udadisi wangu nikaambiwa bado anaishi katika jengo linalolipiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hata huduma za nyumbani kwake bado zinabebwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hata safari zake; za kwenda nje ya Unguja kama Pemba na Dar es Salaam, ndege aitumiayo hulipwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Sina hakika kama mshahara wa mwezi wa Novemba kama atapokea au la! Ni dhahiri bado anahudumiwa kiofisi na kimasilahi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Analindwa na Serikali ya Muungano.
(Dkt. MUHAMMED SEIF KHATIB)
hili nalo ni JIPU KUBWA SANA. magufuli tupia macho huko haiwezekani serikali iendelee kulipa mijitu ambayo inasubiri mshahara wa serikali hiyohiyo wanayosema haijafanya chochote miaka 50. sasa kama haijafanya chochote miaka yote hiyo mnadhani pesa ya kulipa mishahara yao inatoka wapi. wanailazimisha serikali kuwalipa kwa kukopa mabenki ya nje na kuongeza bure deni la taifa. nawashauri wakilipwa mshahara warudishe serikalini. kwa sababu wanatuongezea madeni buree
Hizo ni stahiki zake!, viongozi wote wakuu 6 wa nchi wanastahili hata wakistaafu!.
Hata Lowassa na Sumaye licha ya kuhamia Chadema, malipo, pensheni, gari, dereva, mafuta, walinzi, matibabu, na safari za nje, zinagharimiwa na serikali maisha yao yote!.
Pasco

Tungo ndefu sana dokta, hii inaonyesha ww ni mtunzi hodari sana, endelea kutunga na utanufaika. Ila ulizia zaidi kwa hao waliokueleza ni nini kimetokea mpaka maalim akaendelea kutumja hizo facilities? Muulize tu sheni nahakika atakupa jibu

Mkuu umeambiwa bado yupo ofisini ,kwenye afisi rasmi ya makamu wa kwanza,labda anaenda ku browse internet tu
Hizo ni stahiki zake!, viongozi wote wakuu 6 wa nchi wanastahili hata wakistaafu!.
Hata Lowassa na Sumaye licha ya kuhamia Chadema, malipo, pensheni, gari, dereva, mafuta, walinzi, matibabu, na safari za nje, zinagharimiwa na serikali maisha yao yote!.
Pasco
Ni haki ya kila Mtz kuizodoa serikali, tatizo lenu mna link serikali na chama na ndio maana mtu akiponda serikali macho yanawatoka, usipoiponda serikali yako pale ambapo mambo hayaendi kombo utaiponda serikali ya nchi gani (lengo ni kupiga kelele irekebishe pale ambapo pamekwenda mrama, wale ni viongozi wa kitaifa hata kama waliondoka CCM na wana haki za kikatiba)hili nalo ni JIPU KUBWA SANA. magufuli tupia macho huko haiwezekani serikali iendelee kulipa mijitu ambayo inasubiri mshahara wa serikali hiyohiyo wanayosema haijafanya chochote miaka 50. sasa kama haijafanya chochote miaka yote hiyo mnadhani pesa ya kulipa mishahara yao inatoka wapi. wanailazimisha serikali kuwalipa kwa kukopa mabenki ya nje na kuongeza bure deni la taifa. nawashauri wakilipwa mshahara warudishe serikalini. kwa sababu wanatuongezea madeni buree