Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Nov 22, 2013 #1 Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.
Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi.
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,410 Reaction score 14,119 Nov 22, 2013 #2 Kibo10 said: Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi. Click to expand... Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!! Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi.
Kibo10 said: Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi. Click to expand... Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!! Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Nov 22, 2013 #3 jamani ni nini? aya mapenzi ni ya kukimbia kama ukoma....
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Nov 22, 2013 #4 miss chagga said: jamani ni nini? aya mapenzi ni ya kukimbia kama ukoma.... Click to expand... Oleweni na wamakonde... Hawa wachaga wenzenu watawamaliza huku mkijiona...
miss chagga said: jamani ni nini? aya mapenzi ni ya kukimbia kama ukoma.... Click to expand... Oleweni na wamakonde... Hawa wachaga wenzenu watawamaliza huku mkijiona...
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,244 Nov 22, 2013 #5 Tumuombe Mungu, mauaji yasizidi yale ya ajabu yanayo tokea Mbeya kila kukicha.
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Nov 22, 2013 Thread starter #6 masopakyindi said: Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!! Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi. Click to expand... Michael Alphonse (28) wa Himo, Moshi aliyemchinja mkewe usiku wa leo yuko mahututi hospitali KCMC baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu.
masopakyindi said: Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!! Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi. Click to expand... Michael Alphonse (28) wa Himo, Moshi aliyemchinja mkewe usiku wa leo yuko mahututi hospitali KCMC baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu.
Mshawa JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 787 Reaction score 325 Nov 22, 2013 #7 kwamtoro said: Tumuombe Mungu, mauaji yasizidi yale ya ajabu yanayo tokea Mbeya kila kukicha. Click to expand... Nayo yanasababishwa na wivu wa mapenzi!?
kwamtoro said: Tumuombe Mungu, mauaji yasizidi yale ya ajabu yanayo tokea Mbeya kila kukicha. Click to expand... Nayo yanasababishwa na wivu wa mapenzi!?
Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 874 Nov 22, 2013 #8 Waowane wenyewe
M MLERAI JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 667 Reaction score 275 Nov 22, 2013 #9 Haya mapenzi ya siku hizi yamezidishwa utamu au mbona yanawetesa wanaume hivyo?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Nov 22, 2013 #10 masopakyindi said: Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!! Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi. Click to expand... Sasa kweli wachaga mapenzi sio FANI yao. kina dada jihadharini na wachaga wenye majina ya M, alianza Mushi akafuatia Munisi na sasa Michael... mapenzi yana run dunia..
masopakyindi said: Mauaji mengine ya wapenzi kutoka Moshi!!! Huko nyumbani kwao na Munisi, na Mushi hatushangai siku hizi. Click to expand... Sasa kweli wachaga mapenzi sio FANI yao. kina dada jihadharini na wachaga wenye majina ya M, alianza Mushi akafuatia Munisi na sasa Michael... mapenzi yana run dunia..
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,633 Reaction score 6,229 Nov 22, 2013 #11 Smile wee Dawa ya Roho yangu, kimbia huko kwenu. SIKONGE hauwi wala hajiuwi mtu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Nov 22, 2013 #12 Hange nchagga bhagosha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,168 Nov 22, 2013 #13 wachaga kimetusibu nn? Mbona hivi jmn?
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Nov 22, 2013 #14 teeeeenaaaaaa!!??? huyo pepo ashindwe na alegee akaangukie njia panda ya himo!!khaaaa!!
L Luqash JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 916 Reaction score 342 Nov 22, 2013 #15 Kibo10 said: Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi. Click to expand... Doh, mkidhibiti bastola watatumia visu.
Kibo10 said: Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi. Click to expand... Doh, mkidhibiti bastola watatumia visu.
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Nov 22, 2013 #16 miss chagga said: jamani ni nini? aya mapenzi ni ya kukimbia kama ukoma.... Click to expand... Na hata ukikimbia yatakukimbilia au ukichoka kukimbia utaanza tena kiyakimbilia!!!
miss chagga said: jamani ni nini? aya mapenzi ni ya kukimbia kama ukoma.... Click to expand... Na hata ukikimbia yatakukimbilia au ukichoka kukimbia utaanza tena kiyakimbilia!!!
siralola Member Joined Apr 24, 2012 Posts 49 Reaction score 7 Nov 22, 2013 #17 utam umemponza mungu mlaze pema
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,566 Nov 22, 2013 #18 Huko huko kwa kina munis na ufooo inabidi ufanywe utafiti wa kina! Wachaga : mapenzi mauaji= tupate jibu hapa?
Huko huko kwa kina munis na ufooo inabidi ufanywe utafiti wa kina! Wachaga : mapenzi mauaji= tupate jibu hapa?
MatikaC JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,190 Reaction score 479 Nov 22, 2013 #19 Ablessed said: Hange nchagga bhagosha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... neyo makoye duhu! madelagawiza!
Ablessed said: Hange nchagga bhagosha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Click to expand... neyo makoye duhu! madelagawiza!
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 26,699 Reaction score 59,210 Nov 22, 2013 #20 Kibo10 said: Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi. Click to expand... wachagga wamekuja juu kimapenzi.
Kibo10 said: Mkazi wa Himo Silvia Chapa (30) auawa kwa kuchinjwa na mumewe Michael Alphonse (28) usiku wa manane. Polisi waokota mwili wake leo saa 5 asubuhi. Click to expand... wachagga wamekuja juu kimapenzi.