Maumivu ya tumbo mfululizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya tumbo mfululizo

Discussion in 'JF Doctor' started by mase88, Jul 13, 2012.

 1. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  DR. wa JF jamani nimekuwa nikiumwa na tumbo mfululizo takribani siku nne sasa bila kupata nafuu sijui tatizo ni nn naombeni ushauri :sleepy:
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  Hujatuambia wewe Male au Female tutawezaje kukujuwa? Kula Asali Safi mbichi ya nyuki kila siku unaumwa na hilo tumbo kisha uje utuambie je bado tumbo lako linauma? Give me a Feedback mase88
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. mase88

  mase88 JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  poa kaka mizizmkavu ngoja kwanza nipige iyo asali
   
 4. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tumia aloe vera gel ya forever living ni super product. 0713348165
   
Loading...