Maumivu ya tumbo kwa MJAMZITO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu ya tumbo kwa MJAMZITO

Discussion in 'JF Doctor' started by Lonely heart, Feb 15, 2012.

 1. L

  Lonely heart Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshma yenu doctoz na members wote, mimi ni mjamzito wa meizi 4 na siku 12, tatizo langu ni kuumwa tumbo mara kwa mara anzia kwenye kitovu kuelekea chini, nimeshaeleza tatizo langu KCMC wakaniambia nipunzike nisifanye kazi yyt lakini bado tatizo halijaisha, wakati mwingine nahisi km nimebanywa na haja kubwa nikienda chooni haitoki na maumivu yanaendelea,WAPENDWA WANGU NISAIDIENI JAMANI MANA NAOGOPA SANA. MUNGU AWABARIKI.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pole mwaya! Ngoja madoctor waje
   
 3. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mmmh! Da angel ushawah kubeba mimba nn? Nilidhan bado....lol! Pole mtoa mada.
   
 4. Mganga wa Jadi

  Mganga wa Jadi JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2008
  Messages: 278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  LH pole sana kwa maumivu unayoyapata, nahisi huu ni ujauzito wako wa kwanza! Haya maumivu unayo yapata yanasababishwa na mvutano unaotokea ndani ya tumbo na misuli ya kizazi, lakini pia mlalo na activities za mtoto awapotumboni hii pia hutokea.
  Kina mama wenye retroverted uterus pia hupata maumivu kama haya. ni vizuri ukaanza mazoezi sasa badala ya hiyo bedrest uliyopewa. unapolala tumia zaidi ubavu wa upande wa shoto hii pia husaidia. Otherwise nakutakia kila lakheri na Mungu akujalie mtoto kwa usalama.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nina katoto karembo kwelikweli kadri kanavyokua ndo idadi ya mambwa niniyofuga yanaongezeka
   
 6. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Pole sana, maumivu unategemea Kama ni wakati wote, am ukipata mkojo unauma na Mara kwa Mara, uterus ni pelvic organ na mimba inapokuwa then uterus grows to become abdominal organ, mie nimepata msaada pale Mawenzi hospitali nenda wodi number 5 pale siku za kazi utawakuta Madokta watakusaidia.


   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  halafu na kutoka nje ya ndoa inasababisha. inabidi mtulie nyote. wewe na mmeo pia. nakutakia afya njema.
   
Loading...