Maumivu ya mapenzi!

Anaeachwa siku zote anaumia kuliko anaeacha

ni kweli anayeacha hapati maumivu kwa maana tayari alikuwa kashajipanga kumwach mwenziwe....MAUMIVU kwa aliyeachwa ..pia aliyependa akiachwa anaumia sana
 
Kuachwa
Kuachwaaaa

Kuachwa ni shughuli pevu...

Mbaya zaidi kwa mtu uliyempenda yeye ananenepa ww unakonda kwa mawazooo...
 
MIMI HUWA SIJUIAGI JAMANI NAOMBA KUFUNDISHWA...Hivi kwenye MOYO kunachumba au vyumba vyamapenzi tofauti na damu?
 
Ni kweli kabisa lakini ni ulimbukeni tu mwisho wa siku kila kitu ni kilekile
 
Hili swali linafaa kupelekwa kwenye kipimajoto itv na sio kwa great thinkers.
 
Hili swali linafaa kupelekwa kwenye kipimajoto itv na sio kwa great thinkers.

Great thinkers never knew everything. We need to share a piece of knowledge from each other.
 
Maumivu ya penzi mtu hajikuni wala hajikandi na maji na hakuna upasuaji yoyoo....usithubutu kukutwa,mana mhhh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…