Maumivu ya kulinganishwa

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,204
Reaction score
14,393
Habari wanaJF.!
Kuna baadhi ya vitu hutokea kwenye maisha yetu ya kila siku na tunavichukulia simple sana ila ni vitu ambavyo vinaweza kuleta pain na kusababisha mhusika kujiona sio kitu. Kulinganisha mafanikio ya mtu mmoja na mwingine ni kitu ambacho kinachukuliwa kawaida sana Ila ukweli kinaumiza sana. Hii kitu imekuwa ikinitokea sana kwenye maisha kulinganishwa na ndugu wengine kwenye ukoo na kila tukilinganishwa mi ndo naonekana kilaza.
Mnaopenda kulinganisha watu mnakuwa hamfanyi fair ukitaka kufanya mlinganisho ni vizuri ukajua vitu ambavyo wote wawili wanapitia kuna watu wanahustle wenyewe toka chini ila kuna baadhi wanapata shavu kutoka kwa watu wao wa karibu. So ukitaka kulinganisha ni vizuri ukaanza kulinganisha hustle zao kwanza.
Jumapili njema.
 
Bora hata wewe umelinganishwa na ndugu zako.

Mimi kuna ke mmoja alinilinganisha na ex wake. Iliniuma sana kiukweli ukweli.

I believe one day atakuja kujutia kauli yake. Naomba Mungu azidi kuwa nami kwa mwendo huu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Significant difference!
 
Pole sana. Ila huyo ilibidi alinganishwe na kitu ambacho hatokisahau.
 
Sometimes inasaidia kumuinua alie chini asirelax alipo maana kuna waliomzidi na yeye anatakiwa afike huko hata kuwazidi note kulinganishwa ndo kipimo cha mafanikio so usiwachukulie vby wanaokuonyesha waliokuzidi
 
Sometimes inasaidia kumuinua alie chini asirelax alipo maana kuna waliomzidi na yeye anatakiwa afike huko hata kuwazidi note kulinganishwa ndo kipimo cha mafanikio so usiwachukulie vby wanaokuonyesha waliokuzidi
Ni kama challenge ila tatizo linakuja lawama zinapojumuishwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…