Maumivu ya kichwa upande mmoja

Maumivu ya kichwa upande mmoja

Joined
Oct 17, 2019
Posts
32
Reaction score
23
Habari,

Kwa muda sasa nimekua nikipata maumivu ya kichwa kuuma upande mmoja na kujiskia vibaya.

Kabla kichwa hakijaanza kuuma huwa jicho linakua kama halioni vizur then maumivu yaananza kwa mbali baada ya hapo kiganja cha mkono hufa ganzi kwa dakika kadhaa then upande mmoja wa mdomo hufa ganzi, baada ya hapo kichwa huuma sana kukiambatana na kujiskia vibaya.

Nilijaribu hospitalini lakin hawakuona kitu, kwa muda wa miaka 4 hali hii ilitulia lakin hivi karibuni imejirudia tena.

Msaada tafadhal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilihangaika sana, kafanye check up ya meno hasa ya juu upande ambao kichwa kinauma. Nilihangaika mwezi mzima na kichwa kuuma upande na hicho lakini walivyoziba jino hapo hapo tatizo likawa solved
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom