Maumivu wakati wa kukojoa

Maumivu wakati wa kukojoa

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Habari za kazi.

Napata maumivu chini ya kichwa cha uume kwenye mshipa wakati nakojoa.
Pia uume unatoa uchafu wenye rangi nyeupe...

Naomba mwenye ushauri juu ya hilo.
 
Kaswende au Kisonono hiyo
Wahi hospital
 
Kavu ni hatari kwa maendeleo yako..kimasihara isha leta majibu.

Mademu wengi sikuhizi wamebeba magonjwa ya ngono.

Wahi hospitali mapema.

#MaendeleoHayanaChama
 
Pole Sana hutakufa ila utaumwa TU kunywa maji mengi na antibiotics husika..wengi watakucheka ila wengi tuna hii shida
 
Habari za kazi.

Napata maumivu chini ya kichwa cha uume kwenye mshipa wakati nakojoa.

Naomba mwenye ushauri juu ya hilo.
Sababu

1. UTI.- ili neno linabeba maana nyingi yaani tatizo au itilafu kwenye njia ya mkojo kuanzia uume wenyewe mpka kwenye kibofu. yaan urinary tract infection. Kama umemeza dawa za UTi kwa siku 7 mpka 10 ujaona UNAFUU WOWOTE basi UNAWEZA ukawa na UTI SUGU ambayo dawa yake waga zenye nguvu zaidi kama vile za sindano au vidonge vynye nguvu zaidi kama vle Azuma na nk ( sipendi kutaja dawa usije ukaacha kwenda hopitali ulaenda knunua hospitali ni muhimu mm natoa 2 uelewa na kukusanua)


2. Gonorrhoea; naanza kwa kuuliza una mda gani toka ufanye tendo la ndoa?? Unatumiga condom? Una mpenzi zaidi ya 1 ?? Ukikojoa ucha wa rangi yoyote hau unaoa harufu?

Kwa sasa ni hayo UKIJIBU HAYO AFU TWENDE SAWA
 
Back
Top Bottom