Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Ni kweli miezi 3 ilyopita alikuwa na mimba ikaharibika , ila aya maumivu ni ya muda mrefu inafika miaka 2.Inawezekana kuna mimba iliharibika hivi karibuni, muone gynaecologist.
Miaka miwili ndio mnatafuta suluhisho leo?Ni kweli miezi 3 ilyopita alikuwa na mimba ikaharibika , ila aya maumivu ni ya muda mrefu inafika miaka 2.
Muone gynaecologist ikiwezekana afanyiwe ultrasound.Ni kweli miezi 3 ilyopita alikuwa na mimba ikaharibika , ila aya maumivu ni ya muda mrefu inafika miaka 2.
Ok, sawa ila hatokwi na halufu wala uchafu.Ana infection sugu huyo au UTI sugu
Yes akitibu UTI itaachaOk, sawa ila hatokwi na halufu wala uchafu.
SawaYes akitibu UTI itaacha
Hapana kufikia apa nimrjaribu kupata suluhisho, imeshindikana ,Miaka miwili ndio mnatafuta suluhisho leo?