Nifah Platinum Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,416 Reaction score 82,368 Jun 3, 2024 #21 Hii kazi ya kukusanya zote hizi uliifanya kwa muda gani?
de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 10,533 Reaction score 20,969 Jun 3, 2024 #22 Stress zote za leo zimedisolve asante 🤣
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,047 Reaction score 110,606 Jun 3, 2024 #23 Inaonekana unashida na changamoto za kifamilia, mahusiano, kazi, ukata, upweke, umaskini na yooote umeyabeba kwa muda mrefu sana right....🤔
Inaonekana unashida na changamoto za kifamilia, mahusiano, kazi, ukata, upweke, umaskini na yooote umeyabeba kwa muda mrefu sana right....🤔
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,421 Reaction score 12,109 Jun 3, 2024 Thread starter #24 Nifah said: Hii kazi ya kukusanya zote hizi uliifanya kwa muda gani? Click to expand... Nahisi chini ya dakika mbili
Nifah said: Hii kazi ya kukusanya zote hizi uliifanya kwa muda gani? Click to expand... Nahisi chini ya dakika mbili
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,807 Reaction score 61,666 Jun 3, 2024 #25 I am Groot said: View attachment 3007805 Click to expand... hahahahha
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,954 Reaction score 56,076 Jun 3, 2024 #26 Inasikitisha sana
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,421 Reaction score 12,109 Jun 3, 2024 Thread starter #27 Ushimen said: Inaonekana unashida na changamoto za kifamilia, mahusiano, kazi, ukata, upweke, umaskini na yooote umeyabeba kwa muda mrefu sana right....🤔 Click to expand... Maisha yenyewe ndio haya haya alafu tuishi serious namna hiyo mkuu?. Aah we niache tu niwe na hizo changamoto kama ni hivyo
Ushimen said: Inaonekana unashida na changamoto za kifamilia, mahusiano, kazi, ukata, upweke, umaskini na yooote umeyabeba kwa muda mrefu sana right....🤔 Click to expand... Maisha yenyewe ndio haya haya alafu tuishi serious namna hiyo mkuu?. Aah we niache tu niwe na hizo changamoto kama ni hivyo
Hey There Senior Member Joined Nov 12, 2023 Posts 120 Reaction score 372 Jun 5, 2024 #28 Nifah said: Hii kazi ya kukusanya zote hizi uliifanya kwa muda gani? Click to expand... Just enjoy fun swali kama haya yana destruct content creator
Nifah said: Hii kazi ya kukusanya zote hizi uliifanya kwa muda gani? Click to expand... Just enjoy fun swali kama haya yana destruct content creator