Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
🤣🤣🤣Hivi Umewahi kuumizwa na mtu ambaye ulimuamini sana? How did u handle it guys? [emoji50][emoji50][emoji50]
Zamani sana Ilikuwa Darasa La 7 B Bunge Primary, kuna msichana niliwahi kumuamini hadi akawa anaenda na begi langu la madaftari nyumbani kwao.
Lakini bado akanisaliti na jamaa ambaye amenunua uniform mpya [emoji17][emoji17][emoji17]
umenenea 100%Epuka attachment na mtu au na kitu chochote... Utaishi maisha yasiyo na matarajio makubwa na utawavutia hata wale wanaoweza kukuacha kipindi kigumu.
Mara nyingine hutakiwi kusimama mguu sawa hivyo simama mguu pandeHivi Umewahi kuumizwa na mtu ambaye ulimuamini sana? How did u handle it guys? [emoji50][emoji50][emoji50]
Zamani sana Ilikuwa Darasa La 7 B Bunge Primary, kuna msichana niliwahi kumuamini hadi akawa anaenda na begi langu la madaftari nyumbani kwao.
Lakini bado akanisaliti na jamaa ambaye amenunua uniform mpya [emoji17][emoji17][emoji17]
Sisi ndo wanawake bhana.Hivi Umewahi kuumizwa na mtu ambaye ulimuamini sana? How did u handle it guys? [emoji50][emoji50][emoji50]
Zamani sana Ilikuwa Darasa La 7 B Bunge Primary, kuna msichana niliwahi kumuamini hadi akawa anaenda na begi langu la madaftari nyumbani kwao.
Lakini bado akanisaliti na jamaa ambaye amenunua uniform mpya [emoji17][emoji17][emoji17]
Usichukulie kila kitu serious, utakufa kwa stress [emoji38]Joshua unaonekana bado mtoto.
Hahah! hao watoto waliosoma bunge,muhimbili, diamond na olympio chenga sanaUnarudije nyumbani bila begi asee