Dear wadau,
Nina maumivu makali sana ya kichwa na usiku ndio yanaongezeka zaidi. Nimeshaonana na madaktar wa kawaida na specialist na kufanyiwa vipimo hadi MRI bila nafuu.
Umri haionyeshi tatizo lolote. Niliepewa dawa za antimigrain nikatumia bila.nafuu sasa natumia dawa zingine aina ya.ONEGABA 300 za mwezi mzima nazo ni siku ya 4 leo bado sipati nafuu.
Maumivu yapo katikati ya kichwa na yanakuwa yanapwita hivi. Naomba mwenye idea nifanye nini, pia natoka jasho sana kichwani.