Maumivu kwenye vidole na miguuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu kwenye vidole na miguuni

Discussion in 'JF Doctor' started by mamkindi, Mar 28, 2012.

 1. mamkindi

  mamkindi Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwa napata maumivu kwenye vidole mikononi na miguuni na wakati mwingine vinakuwa na joto kali sana, Na hii huwa inatokea nikikaribia bleed. Naomba ushauri wenu au ni matibabu gani nipate
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  nenda kacheki Gout
   
Loading...