Maumivu kwenye chemba ya moyo

Maumivu kwenye chemba ya moyo

Mdadamwema.

Senior Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
156
Reaction score
173
Salaam kwenu wakuu,

Ninashida moja ya kiafya,kwanza ninahisi maumivu makali kwenye chemba ya moyo,halafu kiungulia kingi na kuna kitu kinanitembea hapa kooni mwashoni mwa koo kuelekea kifuani, yaani kooni Kwa chini, mara kinapotea mara kinakuja na juzi nilikula chakula vizuri tu lakini baada ya Kula kama dk 5 hivi nilihisi maumivu makali Sana chini ya kifua Kwa chini kuelekea tumboni.

Na yakawa yanahama Hama mara chini ya mbavu ya kulia mara chini ya mbavu ya kushoto ila baadae yakapotea ila hiki kitu kilichonikaa hapa shingoni ndo kinanijia mara nyingi hasa nikimaliza Kula naona kinanijia na kiungulia.

Wakuu hili litakuwa ni tatazo gani?
 
HIYO SIO CHEMBE YA MOYO UNASUMBULIWA NA ACID REFLUX , NICHEK NIKUPE EXPERIENCE YANGU HADI KUONDOKANA NA HILO TATIZO POLE SANA 0678096545

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wacah kupanic mkuu,wakati,mwingine ni magesi tu hayo,ila kwa ushauri nenda kapime hospitali ndio utajua yote...
 
Inawezekana una kati ya hali hizi mbili au zote zinafahamika kwa jina la ANGINA na ULCERS
 
Back
Top Bottom