Gonoooo hiyo jichunge
Acha kuokoteza visichana.
Basi acha kuokoteza vivulana.Mimi ni mwanamke mkuu
Ushamaliza dozi ya sindano na vidonge?
As a Dr nakushauri kacheki magonjwa ya zinaa pamoja na VVU
usipuuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu JF doctors, naumwa sana nikikojoa mkojo hautoki, wote unakua kama unabaki ndani ya kibofu halafu napata maumivu makali sana.
Nimeenda hospitali wameniambia nina U.T.I, wameniandikia sindano na dawa lakini bado hali inaendelea. Nifanyaje jamani, kuna aliyepitia hali kama hii na je, ulipona kwa njia gani?
Asante.
Mkiambiwa mtunie kondom mnaona mnakosa utamu. Hayo Sasa ndio matokeo ya nyama kwa nyama.
Vile vile Hilo tatizo huletwa na MTU anayeingiza barabara ya vumbi Kisha bila kuoga akachomeka ukweni.